Wakristu Tuachane na umimi(UBINAFSI)

https://i1.wp.com/img.thezimbabwean.co.uk/640_480_ophans.jpg

Ebu fikiri na mimi wewe Mkristo mwenzangu hasa ambaye uko kwenye friend list yangu. Kama Wakristo tungeacha u-mimi na kutaka kuonekana na kutaka kubeba utukufu, tukawa na umoja, kwa ajili ya Kristo Yesu na ufalme wake, tukawa na nia ya kumwinua Yesu kuliko madhehebu yetu, tungefanya makubwa mangapi hapa Tanzania kama kusanyiko la Wakristo wenye Matokeo/Faida? Nina marafiki zaidi ya 1500 kwenye friend list yangu ambao ni Wakristo. Je kila mmoja angeamua kwa dhati moyoni mwake, kuleta mabadiliko kwa wadogo zetu wanaoharibikiwa future zao kwa kukosa ada, mayatima, wajane, wahitaji, wasiojiweza nk na kila mmoja wetu akaamua kuwa anatoa sadaka ya walau sh 2000 kwa mwezi, unadhani ni wangapi ambao tungewagusa na kuyapa maisha yao thamani? Unadhani hata kuwaambia wengine kuwa Yesu ni mzuri, amejaa upendo na anatunza ingekuwa issue sana? HAPANA…We must wake up, we must show the world who we are, sisi ni NURU YA ULIMWENGU, sisi ni CHUMVI YA DUNIA. Lazima tufanye kitu! YESU ALITUOMBEA TUWE NA UMOJA, MAANA UMOJA HAUSHINDWI, UNA NGUVU YA MBINGU NYUMA YAKE. Unaweza kujiunga nasi Wakristo wenye Matunda, matendo na faida (The ASSOCIATION OF BORN AGAIN CHRISTIANS IN TANZANIA with IMPACT)…Tunawasajili Wakristo wote ambao wanataka kufanya kile ambacho Yesu angefanya kama angekuwa hapa Tanzania akiwa ameuvaa mwili…Zaidi kuhusu haya tuwasiliane kwa simu yangu: 0655 466 675. **We must spend more to others and less to ourselves-My father in the Lord, prophet T.B JOSHUA*

*PROFILE FB  http://www.facebook.com/kabigumilacornel.dick

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: