IMANI ni nini?

http://sttwm.files.wordpress.com/2012/03/faith1.jpg

IMANI NI NINI? 1.Ni kuyasema yasiyokuwako kana kwamba yamekuwa pasipo shaka moyoni (Warumi 4:17), 2. Ni kutangaza mwisho wa jambo tangu mwanzo wake pasipo hofu kama afanyavyo Mungu (Isaya 46:9-10), 3. Ni uhakika wa mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana (Waebrania 11:1), 4. Ni kutenda sawa na Neno la Mungu (Mtume na Nabii Josephat Mwingira), 5. Ni mfumo wa maisha ambapo kila ulifanyalo unalifanya sawasawa na Neno la Mungu (Mwl. Christopher Mwakasege), 6. Ni mfumo wa maisha ambapo wewe na Neno la Mungu mnakuwa wamoja (Mwl. D.C.Kabigumila), 7. Ni mfumo wa maisha ambapo unayatazama mambo kwa Jicho na Mtazamo/wazo la Mungu (Mwl.D.C.Kabigumila), 8.Ni kuamini kwamba yale uliyoyaomba kwa Mungu umeyapokea mara tu umalizapo kuomba (Bwana Yesu, Marko 11:23-24), 9. Ni kuwa na mfumo wa maisha uliofungia nje hofu, mashaka, wasiwasi na woga (Mwl. D.C.Kabigumila) ** HII NDO IMANI**http://aidenslife.files.wordpress.com/2012/02/faith-is.jpghttps://i2.wp.com/christianbackgrounds.info/wp-content/uploads/2012/02/faith-x.jpg

 

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
2 comments on “IMANI ni nini?
  1. Bhikilimana Abraham Bhitona says:

    imani ni kuwa na matumaini juu ya jambo furani mbele zaMungu

  2. Imani ni kukiri hakika na kweli ya mungu kutoka moyoni

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: