Mwenye Masikio na Asikie

https://i2.wp.com/researchwritingreview.com/wp-content/uploads/2011/07/figure_2_chatting.jpg

Leo nimekuwa na mazungumzo mepesi na BWANA na amenionesha serious issue kuhusu Nguvu za giza zilivyowekeza kila walichonacho kwenye Technology industry. Mapepo ya tamaa (lust) na uzinzi yametupwa kwenye Maongezi ya Simu za watu wa Jinsia tofauti (ambao si kaka na dada) ili mwisho wa siku wadondoke kwenye zinaa. Hizi offer za simu za bure mida ya usiku mkubwa zina cha ziada kwenye ulimwengu wa roho. Ufalme wa giza wanaendelea kukamata wengi (hata wale ambao wanapanda madhabahuni). Hali ni tete sana. Lakini pia wametega majeshi yao kwenye hizi sms za bure/bei rahisi. Wanahakikisha unaishia kuchat mambo yanayokunajisi na kupitia hapo yanakuvaa na unaanguka uovuni. Na wale ambao wako busy kwenye VIDEO CHAT/ CALLING, hapo pia adui ameweka jeshi lake kubwa. Pia Yahoo mail nako analo jeshi kubwa linalotengeneza kutuma email za picha na video za ngono (kwa hili linawahusu wengi) na pia kuna mashambulizi yapo facebook chat kwa wale wanaokuwa online kuanzia saa 5 usiku hadi 11:30 alfajiri. Na ndio maana internet ni free karibu mitandao yote mida hiyo.Pia kuna ma-agent wa ufalme wa giza ambao wamekuomba urafiki na unao kwenye orodha ya marafiki zako. Si watu, ni mapepo yamechukua miili lengo kubwa ni kuwaangusha hasa wale ambao wana UTUMISHI MKUBWA ndani yao (Mimi ninao kwenye list yangu na wanajaribu kunimaliza mapema, ila wamesahau wanapigana na Mungu mwenyewe mzima mzima aliyemo ndani yangu na ambaye ni UKUTA WA MOTO KUNIZUNGUKA NA UTUKUFU NDANI YANGU; Zekaria 2:5). Jitahidi, uwe na nidhamu ya juu sana, sio lazima kuchat na kila mtu kwenye friend list yako. Na usiyachukulie mambo kirahisi, inawindwa roho yako na kile ambacho Mungu amewekeza ndani yako. **MWENYE MASIKIO NA ASIKIE**

https://yesunibwana.files.wordpress.com/2012/04/nothingisfree.jpg?w=300

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Mwenye Masikio na Asikie
  1. yesunibwana says:

    Reblogged this on yesunibwana and commented:

    MWENYE MASIKIO NA ASIKIE

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: