Shiriki Baraka

Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka huu, mimi pamoja na Shirikisho la Wakristo wenye Matokeo/Faida (The ABACT with IMPACT)…tutaanza kusomesha Watoto walio katika Mazingira magumu pamoja na wale ambao ni yatima. Tutaanza na wale walio shule za msingi na sekondari kwa miaka 3 ya kwanza. Halafu baada ya hapo tutagusa hata ngazi ya wale walio vyuoni. Kwa kuanzia, mimi nimetoa nakala zote 500 za kwanza za kitabu changu ‘FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA JINA LA YESU; Jina 1 funguo 3 Tofauti’ zitumike kuanzisha mfuko huo. Nategemea kupata 1.2 milion minimum kutokana na mauzo yake. Unaweza kushiriki BARAKA hizi kwa kutoa walau sh 4000 ambapo pia nitakupa copy 1 ya kitabu kama ahsante! Sh 4000 sio limit, ni kianzio tu, Mungu akikusukuma kutoa zaidi usimzuilie…Kama hili limekugusa na unataka kuyagusa maisha ya hao wadogo zetu na pia KUPANDA Mbegu ktk UFALME WA MUNGU, Tuwasiliane kwa simu yangu: 0655 466 675. Pamoja tunaweza kuleta tumaini, pamoja tunaweza kuleta mabadiliko, pamoja tunaweza kuyagusa maisha ya wengine kwa hicho kidogo tulichonacho. Pamoja tunaweza kufanya kile ambacho Yesu mwenyewe angefanya kama angekuwa ameuvaa mwili kama mimi na wewe. ** Life gets its meaning when problems and pains of others begin to be our concern-My father in the Lord, Prophet T.B JOSHUA**

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: