USHUHUDA (Kupitia maombi….)

JAMANI YESU YUKO HAI MARAFIKI. Hapa ninao ushuhuda, Yesu wa Nazareth amefanya. Utukufu na heshima zote ni kwake mfalme Yesu. Kuna dada mmoja mwanzoni mwa mwezi huu alinifata kunieleza tatizo lake, alikuwa amesoma ana Masters lakini kwa takribani miaka 2 alikuwa akitafuta kazi bila mafanikio. Alituma maombi makampuni kibao pasipo mafanikio. Kisha alipata habari toka kwa mama mmoja ambaye ni prayer …patner wangu, akamwelekeza kwangu, akaja tukawa na ibada nzuri ya kama saa 1 hivi, nikimweleza kile ambacho Mungu anataka afanye ili amsaidie. Baada ya kumpa yale maelekezo, nilimwambia siku akiwa tayari alete CV yake na tutamwomba Bwana na atapata kazi pasipo shaka. Akaileta, tukaomba na Leo hii ameanza kazi. Baada ya adui kumzuia kwa miaka 2, Yesu amemkumbuka, amefanya kwake! ** INAWEZEKANA HATA KWAKO, AMINI TU KWAMBA MUNGU AMETUKUTANISHA ILI NIWE PRAYER PARTNER WAKO**
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: