Neno la Mungu ndilo Ngao ya Imani

faith

Biblia inasema, “Zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya IMANI, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu”…Unapookoka na kumpa YESU KRISTO maisha yako haimaanishi shetani hatapata nafasi ya kuleta mawazo yake na fikra zake katika nafsi yako. Atakusemesha mara nyingi tu japo hawezi kukushinda mpaka ukimpa nafasi kwenye mawazo yako na kufanya sawa na sauti yake. Kila wazo au fikra inayokuja ndani yako iliyo kinyume na NENO LA MUNGU ni kauli na wazo la shetani mwenyewe! Kila mara shetani anapokuja kwako na akakushambulia kwa mishale yake ya moto si muda wa kuomba au kufunga. Ni muda wa KUKIRI NA KUTENDA NENO LA MUNGU. Maana IMANI ya MKRISTO imejengwa na KWELI YA NENO LA MUNGU. Kila unapomkabili Shetani na mashambulizi yake, maneno yako na hekima ya kibinadamu havihitajiki. Silaha pekee, Ngao ya Imani, iwezayo kuzima MISHALE YOTE YA MOTO ya mwovu ni NENO LA MUNGU LINALOZUNGUMZIA HALI UNAYOPITIA. ## NENO LA MUNGU NDILO NGAO YA IMANI ##

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: