MPE MMEO/MKEO HADHI YAKE

KWENU WANA NDOA>>>Hakuna mtu wa thamani kwako hapa duniani kwa muda huu kama MMEO/MKEO. Yeye ni shujaa na jasiri kuliko mwanaume/mwanamke yeyote unayemfahamu chini ya jua. Huyu amefanya maamuzi makubwa na ya imani, amewaacha wazazi na ndugu zake anaowajua tabia na maisha yao halafu akaamua kuja kuishi na wewe, mtu baki, usiye wa damu moja naye, usiye na vipaumbele sawa naye, usiye na mipango sawa naye. Akaamua kuua personal interest zake ili mradi awe na wewe na muanzishe interest, goals, dreams n vision za kwenu wote. Hii ni SADAKA KUBWA awezayo kutoa mwanadamu, ‘KUJITOA KWAKO’…Usidhani wewe pekee ndiye ulimwona, wako wengi walimtaka, tena wengine walikuwa wamemaanisha kuliko wewe. Wako hata ambao kwakweli wanampenda na kumthamini kuliko wewe. Lakini wote hao kawaacha, kwa UPENDO WA AJABU kaja kwako. Na mara hii umeyasahau yote haya,unamlinganisha na mama/babako.Kama unadhani mama/babako ni bora kuliko mke/mme wako, basi ungemwoa/ungeolewa na mama/babako. **MPE MMEO/MKEO HADHI YAKE, acha utoto! **

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: