Mwezi wa 5 wa maombi

Mwezi wa 5 ndo huo unaanza kesho, na kama ilivyo ada nina siku 3 za kwanza za kuomba pamoja na wewe mwenye kutaka Yesu akutendee jambo. Yesu alisema, “Wawili wenu [mimi na wewe] wakipatana katika neno/jambo lolote na kuniomba, hilo nitawafanyia/nitawapa” (Mathayo 18:19). Nitumie prayer request zako 3 unazo taka Bwana akupe haraka/ndani ya muda mfupi. Tafadhali zitume kwa sms kwenye namba yangu ya simu; 0655 466 675 na uwe huru nikikuuliza jambo lolote ama nikikuelekeza jambo lolote ili tuombe pamoja kwa urahisi na umoja. Kama unamwamini Bwana Yesu, niamini pia mimi mtumishi na wakili wake. Kwa wale walionipa maombi yao miezi iliyopita, nimeyaandika kwenye Prayer Book yangu na nayaombea mara kwa mara, uwe na amani sijaacha kukuombea. Na kwa wale ambao tayari Mungu ameshawatendea, nijulisheni tumpe Yesu utukufu pamoja, usikae kimya! Na kwa wale ambao hamjachukua kitabu changu cha FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA JINA LA YESU; JINA 1 FUNGUO 3 TOFAUTI, Tuwasiliane nikuletee copy yako. Kumbuka ni sh 4000 tu na zitatumika kuanzisha mfuko wa kuwasomesha watoto walio katika mazingira magumu na wale walio yatima. Kama umeguswa kutoa zaidi ya hiyo 4000 ni njema zaidi maana haunipi mimi bali unaujenga Ufalme wa Mungu. Katika hilo siwezi kuingilia, ni wewe na Mungu wako. ** Nakupenda sana rafiki ila Yesu anakupenda kuliko mimi, na wewe ni wa thamani kwake, usijidharau wala kujishusha**

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: