Je we ni Mkiristu msindikizaji hau mwenda mbinguni

Si kila anayesema MDOMONI kwamba ni MKRISTO ni MALI YA KRISTO. Wengi wamo ni wasindikizaji wa WAENDA MBINGUNI, ni sawa na vibaka wa Buguruni wanaodandia magari ili kuiba mali za abiria. Wamo makanisani kwa sababu wamewakuta baba na mama zao wakiwa Wakristo na wao wakazaliwa wakiwa Wakristo, Kitu ambacho hakipo. Hakuna Mkristo wa Kuzaliwa, Mkristo ni yule aliyesikia HABARI NJEMA ZA YESU NA KAZI NJEMA YA MSALABA NA FAIDA YAKE na kisha kufanya MAAMUZI MAGUMU NA YA MAANA YA KUMFATA YESU kwa GHARAMA YOYOTE na kuacha kila kitu ambacho dunia inakiona MALI AU FASHION ili mradi AMWISHIE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI. Ukitaka kujua kwamba wewe ni Mkristo, Mali ya Kristo Yesu angalia Wall yako ya FACEBOOK, kama inapost zinazodhihirisha Ukristo wako… Basi wewe kweli ni Mkristo. Tofauti na hapo, mpe Yesu maisha yako ili uwe MKRISTO, MWENDA MBINGUNI.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: