Kwa akina dada mlioko vyuo vikuu

madada vyuo vikuu,chuo,dada,ukimwi> Nilikuwa namsikiliza Mtumishi mmoja wa Mungu na akawa anaeleza jinsi alivyofatwa na Lecturer mmoja akiwa analia na kumsimulia jinsi alivyotembea na wasichana zaidi ya 600 na akiwa ni mwathirika wa VVU. Akaelezajinsi alivyokuwa akiwafelisha test na mitihani ili wamvulie awafaulishe, huku akiwafelisha wale ambao walishika msimamo wa kutomvulia. Na pia akazungumza juu ya wale ambao walikuwa wanafeli kihalali kwa kutojisomea nao walikuwa wanaangukia mikononi mwake. Huyu mzee alikuwa amekuja kwa huyu pastor ili atengeneze mambo yake na Mungu (atubu) na kisha afe akiwa na uhakika wa maisha ya milele. Huku nyuma kaacha lundo la maiti tarajiwa zenye majina WASOMI. Imeniuma sana kiasi cha kuamua kuacha shughuli niliyokuwa nafanya ili nije hapa niwape HAKI YENU ninyi MASISTA DUUH wa vyuo, Nani alikwambia Ukikaza na kutomvulia Lecturer au prof ukafukuzwa chuo na kuponya maisha yako ndo umeharibikiwa na future yako? Acheni ujinga, maisha hayako kwenye shule, hayako kwenye elimu, maisha yako kwenye KUMJUA MUNGU SANA na mema ndipo yanapokujia (Ayubu 22:21). Nani kakudanganya kwamba kufaulu test au mtihani na kupata degree,diploma, masters au phd ndio umefaulu maisha? Wangapi wanazo hizo elimu na hawana mbele wala nyuma? na wangapi tuna elimu za kawaida tu na hatuna mashaka na kesho yetu? Hivi unadhani degree, masters au phd ndiokitambulisho cha Ubora wa mtu? Hivi unadhani huo mwili wako, unaweza kuulinganisha na A ya course work au UE? hiviumewahi kujiuliza kuna mangapi mazuri yako mbele yako? Hivi unadhani Mungu angekupa nafasi ya kuendelea kuishi kama hana MAWAZO MEMA JUU YAKO?KAMA HANA KAZI NA WEWE? KAMA HANA UWEZO WA KUGHARAMIA ULE NINI NA UVAE NINI? Acheni maswala ya kuiga, Umekuja Chuoni peke yako na utaondoka peke yako, usiwafate wengine wanachofanya. Wewe una mama na baba wa kwako, na unajua namna gani wanakuhitaji, unajua namna gani taifa linakuhitaji, UNAKUBALIJE KUUZA UTU WAKO? Kingine, nani kakwambia kuwa na BOY FRIEND ni sheria ya chuo? Acheni Ujinga…STOP dis appointing God, parents and how Nation…CHAGUA MAISHA…Graduate with A’s not with AIDS!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: