Si Mahali Pako

Hapo ulipo si mahali pako pa milele, hata kama ni pazuri kiasi gani, kuna mahali pakubwa na pazuri zaidi Mungu anataka ufike. Kama ungekuwa umefika KILELENI Mungu angekuchukua upumzike…Fungua macho, Usiishie KUTAZAMA, Jifunze KUONA kwa macho ya IMANI, kumbuka siku zote tunatoka UTUKUFU HADI UTUKUFU, Ulichonacho mkononi ni ishara ya kwamba hata kile KIKUBWA kilicho ndani ya MOYO NA MAWAZO yako kinaweza kuwa kweli!

 

**BETTER IS NOT ENOUGH THE BEST IS YET TO COME-My Dad and mentor Prophet T.B JOSHUA**

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “Si Mahali Pako
  1. MAJALIWA DIONISE says:

    Hii ni njema sana Mungu awabariki kwa kufungua blog hii, kazi ni kwetu kuyafanyia kazi yale watumishi wa Mungu wanatufundisha kupitia blog hii.

  2. Lovely website! I am loving it!! Will come back again. I am bookmarking your feeds also

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: