Kuomba ni Lazima kwa mkiristo

zaburi 2:8 omba nami..KUOMBA, NI LAZIMA>>>Kwa Mkristo, Mwana wa Mungu na mtakatifu aliye duniani, mwakilishi wa Serikali ya Mbinguni, swala la kuomba ni LAZIMA si OPTION…Hautapata chochote kwa Bwana, hata kama ni Baba yako na Rafiki yako mpaka UTAKAPOOMBA hicho ukitakacho toka kwa Bwana. Mungu mwenyewe amelithibitisha hili kote katika NENO LAKE [BIBLIA]…Zaburi 2:8 anasema, ” Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako”…Isaya 43:26 anasema, “Unikumbushe, na tuhojiane, eleza mambo yako, upate kupewa haki yako”…Mathayo 7:7 anasema, “Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa”…Luka 18:1 anasema, “Imewapasa kuomba siku zote wala msikate tamaa”…Wafilipi 4:6-7 inasema, “Msijisumbue kwa Jambo lolote, bali kwa kila jambo kwa KUSALI, KUOMBA na KUSHUKURU. Haja zenu na zijulikane na Mungu na Amani ya Kristo ipitayo fahamu zote itawahifadhi mioyo yenu katika Bwana”…Yakobo 5:17 inasema, “Maombi ya Mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidii…”…Mathayo 26:41 Yesu anasema, ” Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi lakini mwili ni dhaifu”
##KUOMBA, WALAU SAA 1 KWA SIKU SI SWALA LA HIARI KWA MKRISTO AMBAYE SHETANI NI ADUI YAKE##

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: