NAMNA YA KUPOKEA TOKA KWA BWANA

NAMNA YA KUPOKEA TOKA KWA BWANA>>>Wengi wetu tunajua kuomba mbele za Mungu lakini ni wachache kati yetu wanaojua KUPOKEA toka kwa Mungu. Wengi wetu tumejijengea mfumo wa maisha ulio kinyume na NENO LA MUNGU, ambapo ni rahisi kuomba kwa Mungu, lakini UHAKIKA wa kuyapata yale tuyaombayo hatuna. Kati ya waombaji 100 wanaokwenda kuomba mbele za Mungu, ni waombaji 10 tu wanaokwenda kuomba wakiwa na uhakika wa kupokea toka kwa Bwana. 90 waliobaki wanaomba wakiwa ‘Wanajaribu’ pengine Mungu atawapa kile wanachotamani kutoka kwake!
Yesu anasema, “Yoyote Myaombayo mkisali, AMININI ya kuwa mnayapokea nayo yatakuwa yenu”…Pia alisema, ” Yeyote atakayeuambia mlima huu ng’oka na ujitose baharini wala asione shaka bali AAMINI moyoni mwake, ITAKUWA HIVYO”…Akasisitiza tena, “Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa. Kwa maana kila aombaye hupewa, atafutaye huona na abishaye hufunguliwa”…akasema pia, “Lolote mtakalomwomba Baba kwa Jina langu hilo atalifanya/ atawapa”…Yohana naye anamallizia kwa kusema, ” Na huu ndio ujasiri tulionao sisi, ya kwamba tukiomba kitu sawa sawa na MAPENZI YAKE Yeye hutusikia. Na kama atusikia, basi tunazo haja zote tumwombazo” **ASHUKURIWE MUNGU ASIYEKATAA MAOMBI YANGU WALA KUNIONDOLEA FADHILI ZAKE-Zaburi 66:20**

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: