Karibu Singidaa!

https://i1.wp.com/pentrust.org/wp-content/Visitors/Singida.JPG

https://i1.wp.com/in2eastafrica.net/wp-content/uploads/2012/01/Singida-bus-station.jpg

SINGIDA KWA YESU>>> Fellowship ya Wanafunzi Wakristo wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DITSCF) wataivamia Singida, Wilaya ya Iramba, Vijiji vya Nduguti, Kinyagiri na Ishenga kwa INJILI YA UWEZA NA NGUVU YA YESU KRISTO MWEZI JULY 2012 na watakuwa na siku 8 za Umisheni na watafanya shughuli za Kimisheni zifuatazo; UINJILISTI WA NYUMBA KWA NYUMBA, UINJILISTI WA MMOJA KWA MMOJA, MIKUTANO YA NJE KILA JIONI, SINEMA MUDA WA USIKU,WALKING PRAYERS KWENYE NGOME NA MAENEO TATA, KUFUNDISHA MASHULENI, MADARASA YA UJASIRIA MALI, SEMINA ZA KUUKULIA WOKOVU, KUGAWA NGUO, VIFAA MBALIMBALI VYA SHULE KWA WANAFUNZI, KUKUTANA NA VIONGOZI WA MADHEHEBU TOFAUTI MAENEO YALE NA KUUJENGA MWILI WA KRISTO na mengine mengi. Tunayo budget ya Shilingi Milioni 23, na tungependa na wewe uwe sehemu ya MLIPUKO HUU WA KUVUNA ROHO KWA AJILI YA KRISTO. Tutakwenda Askari zaidi ya 100…Na tunajua na wewe ungetamani kwenda, lakini hata kama hautaweza kwenda na sisi, unaweza kuwapeleka wengine…HAKUNA KIASI CHA PESA UNACHOWEZA KUTOA CHENYE THAMANI SAWA NA ROHO MOJA YA MTU…Mungu hana shida na pesa yako, ila anataka kwa hicho kidogo ulichonacho UUJENGE Ufalme wake, HAKUNA ZAWADI UNAYOWEZA KUMPA YESU TOFAUTI NA KUWALETA WENYE DHAMBI KWAKE…Kama umeusoma ujumbe huu, unaweza kushiriki kwa namna moja ama nyingine, hicho kidogo ulichonacho kinatosha kabisa KUIPELEKA HABARI NJEMA YA MSALABA KWA WATU WA SINGIDA na Vijiji hivyo…Kama unataka kuiona BUDGET na mchanganuo wote wa Gharama za Misheni hii, ili ujiridhishe na utoe sadaka yako kwa uhakika, nitafute kwa simu yangu 0655 466 675…PAMOJA TUNAWEZA KUILETA SINGIDA KWA YESU##

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: