Sisi si wadunia hii

https://i1.wp.com/www.standingforgod.com/wp-content/uploads/2011/05/called-out-of-this-world.jpg

http://cacina.files.wordpress.com/2012/05/if-the-world-hates-you.jpg

TUKO DUNIANI>>> Ila si wa dunia hii…Biblia inasema ‘shetani’ ni ‘mungu wa dunia hii’ na yeye ndiye aliyeshikilia mambo mengi na ya muhimu tunayoyahitaji…Tunaishi katika ulimwengu ambao Ufalme wa giza umeshikilia mambo mengi…Shetani kwa ujasiri alimwambia Yesu, “Kila chema ukionacho, kizuri cha kupendeza, hazina zote zilizoko hapa duniani ziko mikononi mwangu, nami huwa ninampa yeyote anayekubali KUNIABUDU (Kunipa nafasi ya kwanza badala ya Mungu)”… Na hakuna NEUTRAL POINT, Kama unataka kufanikiwa lazima uchague Upande mmoja, uwe kwa Mungu kwelikweli au uwe kwa shetani kwelikweli…Wale wasio na upande wanakuwa Ngazi ya wale ambao tayari wamechagua pande zao…HAZINA ZOTE TUZITAKAZO ZIKO GIZANI, Ndio maana Bwana anasema, “Nami nitakupa Hazina za Gizani…” (Isaya 43:3)…Lazima uwe na uelewa na ufahamu uliokuwa ndani ya Mitume ambao “Hawakumpa Ibilisi Nafasi” ambao “Walimpinga Ibilisi wakiwa THABITI KATIKA IMANI” ambao hawakuwa wakiishi duniani kwa kusubiri mambo yatokee, bali waliyafanya mambo yatokee…Kwa maana silaha zetu zina nguvu katika Mungu[Aliyeumba Mbingu na Nchi] hata kuangusha Ngome!…Japokuwa tunaenenda katika Mwili, hatufanyi vita kwa Jinsi ya Mwili…Elewa shetani hatakubali malaika walete uyatakayo kwa urahisi, atajaribu kuwazuia kama alivyofanya kwa Danieli…U must live in this World with higher knowledge of God! Be a friend of the BIBLE and be a doer of the Word you read.aaminiye,sisi si waduniani

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: