Tumewekwa huru na yesu…..>2

https://yesunibwana.files.wordpress.com/2012/05/jesuswithhissheep.jpg?w=239

TUMEWEKWA HURU NA YESU ILI KUWAWEKA HURU WENGINE>>> Wiki iliyopita nilikuwa nafanya COUNSELLING kwa dada mmoja ambaye alikuwa amekata TAMAA ya kuishi na alikuwa na kiu sana ya KUJIUA maana alishachoka kuishi na hakuwa na sababu ya kumfanya aendelee kuishi…Alikuwa ameichoka dunia na kila aliyemo, aliiona dunia si mahali pake tena, hakuwa na rafiki au ndugu aliyemwamini tena, kwa kifupi MAISHA HAYAKUWA NA THAMANI WALA MAANA KWAKE…Alikihitaji kifo kuliko uhai!
Halafu Mungu alimpa neema ya kukutana na kaka mmoja ambaye ni rafiki yangu aliyenieleza kuhusu huyu dada, nami nikamwambia kwa ujasiri mkaribishe aje tuonane, Huyu hawezi kufa wala kuharibikiwa na maisha, Msalaba wa Yesu ulishaweka mambo yote sawa…Mungu ni mwema sana, Yule dada alikubali kuja, nikakaa naye chini ktk uwepo wa Bwana, akaeleza mambo yake yote kwa uwazi na nikamshauri na kumweleza kile ambacho Mungu anasema kuhusu kesho yake na kisha tukamwitia YESU…Roho Mtakatifu alikuwepo na Nguvu zake, akamgusa na kumuweka huru kabisa! Pia alikuwa na matatizo ya MOYO, ASTHMA, Mapafu nk lakini yote haya YESU WA NAZARETH aliyabeba pale pale na kulithibitisha lile Neno la Mathayo 8:17, “Mwenyewe ameyajitwika udhaifu wetu, ameyachukua Magonjwa yetu”…Ni wiki moja nzima sasa, na huyu binti ana furaha, amani na ushindi ndani ya Kristo Yesu…Anayafurahia Maisha na Uhai…maaana Yesu alikuja ili tuwe na UZIMA kisha tuwe nao tele (Yoh 10:10)…Mwl Anakusalimia! ###https://i1.wp.com/oneyearbibleimages.com/Image445.jpg

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: