Unataka Mungu Akuinue?

rat

UNATAKA MUNGU AKUINUE? >>> Mungu hatokuinua kwa sababu ya MAOMBI, SADAKA wala MAARIFA ULIYONAYO. Mungu siku zote yuko busy kumsaidia Mtu ALIYEPONDEKA, MNYOOFU, MTIIFU na MNYENYEKEVU…Usitegemee Mungu atakupandisha au kukuinua wakati hata hiyo nafasi ndogo tu au kiwango kidogo tu cha mafanikio ulichonacho kinakufanya uwe ‘mungu’ kwa binadamu wengine ambao pia anawathamini na kuwapenda aliowaumba kwa sura na mfano wake…Hata salamu unatoa kwa wale ambao unadhani watakupandisha au kukusaidia…Kuna watu wa MUHIMU kwako na WATU wa KAWAIDA kwenye MOYO WAKO…Hapa unatofautiana na Mungu ambaye ni mwema kwa wote, Mwenye kuwapa Mvua wema na wabaya…Aliyemtoa Yesu kwa ajili ya Wote…Kama una UPENDELEO mbele za watu ktk Jambo lolote uwe na uhakika hauna TABIA YA MUNGU na hawezi kukupa NAFASI KWENYE OFISI YAKE maana utamtia shoti!…Unaweza kusema heri yangu mimi, sina hata CHEO au NAFASI kubwa ya kuwatendea watu MEMA, Ningekuwa na NAFASI ningetenda mema sana…Huo ni uongo mkubwa, kama hauwezi KUMJIBU VIZURI KONDA kwenye daladala au yule House boy/girl pale Nyumbani, HAUWEZI kutenda jema zaidi. Maana Yeye asiye mwaminifu ktk mambo madogo, hawezi kupata nafasi ya kuaminiwa ktk Makubwa!
JIFUNZE KUJISHUSHA, JIFUNZE KUNYENYEKEA, JIFUNZE KUTENDA MEMA KWA WOTE, JIFUNZE KUKAA KATIKA UPENDO NA MUNGU ATAKUPELEKA UTUKUFU MWINGINE…Mwl. Anakusalimia!

really cares
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: