Utoaji

UTOAJI>>> Kwa mkazi wa Dar, nauli ya wiki nzima unatumia kama shilingi ngapi hivi? Chakula cha wiki nzima nacho unatumia shilingi ngapi? Vocha kwenye simu yako/zako unatumia shilingi ngapi? Mahitaji mengineyo kama kununua viatu/ nguo, vyombo vya nyumbani nk?…Kama ukiwa na hesabu nzuri, kulingana na matumizi yako hapa Dar, sidhani kama unatumia chini ya 30,000 kwa wiki (mtu mwenye maisha ya wastani)…Kwa wenye familia wanatumia zaidi ya hiyo au hata mara 2 au 3 zaidi! Swali ni je, Ikifika hiyo Jumapili, huwa unatoa shilingi ngapi kwenye chombo cha matoleo kama asante kwa Mungu aliyekupa vyote hivyo kwa wiki nzima? Wewe ni shahidi wa moyo wako. Lakini wengi wetu, Matumizi ya wiki ya Vocha ni makubwa kuliko sadaka tunayoileta mbele za Mungu kama asante kwa kulinda Afya zetu, kutupa uzima na kwa kuwa upande wetu! KATI YA MUNGU ANAYEKUPA YOTE NDANI YA WIKI NZIMA NA TUMBO AU USAFIRI NANI MKUBWA? NANI UNAMPENDA ZAIDI? ANAYEPATA FUNGU KUBWA NDIYE MWENYE THAMANI KWAKO…Mwl. Anakusalimia kwa herufi kubwa##

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: