Dhambi kubwa

yesu msalabani

UONGO, WIZI nk…ZOTE HIZI NI DHAMBI sawa! Lakini Dhambi itakayowapeleka watu MOTONI MILELE ni KUTOMWAMINI YESU na alichofanya kwa ajili yao MSALABANI.

SI KWA AJILI YAKO>>> JEHANAMU haikuumbwa kwa ajili yako, ni kwa ajili ya SHETANI NA MALAIKA ZAKE (Mathayo 25:41)… Ukiamua kwenda huko ni UAMUZI WAKO, Unaishi sasa, uko hai, unaweza kuikwepa, Unayo Nafasi…MPOKEE YESU MOYONI MWAKO NA UMUISHIE YEYE..amua!

https://i2.wp.com/jesuschrist.lds.org/JesusChrist_files/flash/images/sub-header-home-come-unto-Christ.jpg

 

 

SIKU ZETU>>> Siku za mwanadamu, aliyezaliwa na mwanamke ni chache, tena zimejaa taabu…Yeye huchanua kama UA kisha hukatwa na kuondolewa…Ni mbaya zaidi ukiishi Duniani kwa TAABU na JEHANAMU pia ukaenda…huku ni kufa mara 2 kama MKAA. #YESU NI JIBU#

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: