Maneno

MANENO>>> Si kila neno ni halali kwa Mkristo kulitumia au kuliongea, haijalishi hata kama jamii nzima inalitumia. Jifunze kuchunga Kinywa chako. Yesu alisema, “KWA MANENO YAKO UTAHESABIWA HAKI NA KWA MANENO YAKO UTAHUKUMIWA” (Mathayo 12:36-37). Kazi Kwako!

maneno uumba

UZIMA AU MAUTI>>>Mdomo wako unazalisha MATUNDA 2 tu siku zote, Uzima au Mauti. Kila Neno litokalo mdomoni mwako linabeba Uzima [ustawi,mafanikio nk] au Mauti [kutostawi,kukwama na kutofanikiwa]…Neno lolote usemalo litakujenga au Litakubomoa (Mith 18:21)

maneno

BARAKA AU LAANA>>> Maneno unayoyaongea kila siku yamebeba nguvu ya BARAKA au LAANA…Kwa Ulimi wako waweza kuwa chanzo cha Baraka au Laana…Matumizi ya Ulimi yako chini ya udhibiti wako, hata Mungu hawezi kukuchagulia aina ya MANENO na MISAMIATI y

uumba

KINYWA CHA MTU>>>Yesu anasema, “Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake”(Math 12:34).Aina ya Maneno usemayo inatusaidia kufahamu wewe ni NANI HASA…Ukijilisha Neno la Mungu utaongea IMANI. Ukijilisha kile dunia isemacho, UTAKUWA MTUMWA na utasema hayo

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: