Utakuwepo?

ni sherehe kubwa utakuwepoKuna SHEREHE KUBWA INAKUJA, kubwa kuliko ile ya Prince Charlz au ya mtu yeyote maarufu. Hii ni bab kubwa, ameiandaa MUNGU MWENYEWE, Itafanyika Paradizo. Je umechukua TIKETI yako? Ziko huko uliko BURE…Zinaitwa WOKOVU, Unazipata kupitia YESU!

 

USIKU UMEENDELEA SANA>>> Kila SEKUNDE inayopita kwenye maisha yako, inakusogeza kwenye matukio mawili makubwa; KIFO CHAKO na pia SIKU YA HUKUMU…Umejipanga?Una Yesu Moyoni au mdomoni?Una uhakika na mahali Roho yako itakapoishi Milele?Tafakari,Chukua hatua

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: