Ziko Hila ,Mwamini Mungu

MWAMINI MUNGU>>>Inawezekana unapitia changamoto au nyakati ngumu sana muda huu,na unaona hakuna msaada…Ukweli ni kwamba Mungu anajua hilo na anakutazama, hajakuacha wala kukusahau…Acha Kulia, Machozi hayawezi kukuletea Wokovu.Mungu anasubiri IMANI yakomwamini mungu

 

ZIKO HILA>>> Ziko hila [mipango] nyingi moyoni mwa mtu, bali Shauri la Bwana [Kusudi] ndilo litakalosimama…Una mawazo gani? Una mipango gani? Una malengo gani? Una ndoto gani? Una njozi gani?…Yooote hayo, hayana maana kama mwisho wako si MBINGUNI..!

hujajitetea

HAUTAJITETEA>>>Kama wewe ni rafiki yangu hapa KWENYE hii blog au Facebook  hautajitetea mbele za Mungu kwamba hukujua kuwa YESU NI MWOKOZI NA ALIKUFA KWA AJILI YAKO ILI AKUPE UZIMA WA MILELE. Najua huwa unazisoma STATUS zangu KIMYAKIMYA na Mungu atazileta HUKUMUNI km USHAHIDI

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: