imani na …

IMANI NA MAOMBI>>> “Yeye amwendeaye MUNGU [Kwa maombi] LAZIMA AAMINI [awe na IMANI] ya kwamba MUNGU YUPO na HUWAPA THAWABU wale wamtafutao”. Mungu hapokei kila Ombi, bali hupokea Maombi ya mwombaji mwenye UHAKIKA juu ya Uwepo wake na tabia yake ya Kutoa

imani na maombi

IMANI NA KUPOKEA>>>IMANI inayopelekea Wewe kupokea toka kwa Mungu mara huombapo ni tofauti na ile iliyokusukuma kwenda kuomba. Ni wengi WANA IMANI NA MAOMBI lakini wanapoteza MIUJIZA YAO kwa kukosa IMANI YA KUPOKEA aliyoisema Yesu ktk Marko 11:23-24.

faith and players

IMANI NA ULINZI>>> 1Petro 1:5 inasema, “Nanyi MNALINDWA NA NGUVU ZA MUNGU KWA NJIA YA IMANI…” .Haujawahi kuiona DAMU YA YESU, VITUO VYA MALAIKA nk lakini kila UKIAMINI na kuvitumia unakuwa na ULINZI WA NGUVU ZA MUNGU KWA NJIA YA IMANI

https://i0.wp.com/www.turnbacktogod.com/wp-content/uploads/2011/11/The-Power-of-Faith-and-Prayer.jpg

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: