Jambo Moja …

yesu kwa wamuaminioNi jambo moja wewe kusema ‘mdomoni’ kuwa ni Mkristo, Yesu ni Bwana na Mwokozi wako…Ni jambo jingine pia kwa hicho unachodai mdomoni kuwa kweli na halisi Moyoni na maishani mwako…HAKUNA KUFARIJIANA, kama ni Mkristo JINA unajijua Moyoni!

 

 

MAISHA>>>Maisha ni Mafupi, hayapaswi kuchezewa hata kidogo…miaka 60, 70, 80 au 90 duniani ni MICHACHE MNO NA SI KITU ukilinganisha na UMILELE [MIAKA ISIYO NA IDADI WALA UKOMO]…Wako wengi wanakufa ktk Umri mdogo zaidi, si lazima UZEEKE…YESU ANAKUPENDA

WALIOKO KUZIMU>>>Hawataki wanadamu wengine waende huko,wanatamani walau mwenye haki mmoja angefufuka aje aeleze Ukweli wa Uzuri wa Mbinguni na Ubaya wa Kuzimu,Wanatamani hata tone 1 la maji hawapati,wanateseka kwa maumivu ya moto milele.HABARI KAMILI LK 16

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: