Mungu ni nani kwako?

Mungu hawezi kujifunua kwako ZAIDI ya kiwango chako cha kumjua Yeye.Kwa Musa alikuwa WIMBO WAKE NA NGUVU ZAKE(Kut 15:2).Kwa Daudi alikuwa MCHUNGAJI, NGAO,MWAMBA,KIMBILIO,WOKOVU nk. Kwa Ayubu alikuwa MTETEZI WAKE…Je ni nani kwako?

yesu ni nani kwako

UFANISI>>> Katika jambo lolote unalofanya, unalotaka kufanya; ili uwe na ufanisi na ubora Mungu aliokuumba uwe nao na dunia iuone na kuukubali, LAZIMA uchukue UAMUZI wa “WEWE KUPUNGUA ILI YESU AZIDI KUINULIWA” .Lazima ukubali yako yafe na ya Yesu yawe hai!

ufanisi

UAMINIFU>>> Yesu anatuagiza wote tunaotaka TAJI YA UZIMA, “Usiogope mambo yatakayokupata…Uwe MWAMINIFU hata Kufa” (Ufun 2:10). Wakristo wengi ‘wamemuuza’ Yesu, wamekosa Uaminifu kwa KUOGOPA MAMBO [MATOKEO] yatakayowapata hasa kama wamekosea nk. Wewe je

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Mungu ni nani kwako?
  1. Michael Mwingira says:

    Mungu kwangu ni KIMBILIO na TUMAINI pekee.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: