Upanga Mkononi mwa roho Mtakatifu

Biblia inasema, “TENA IPOKEENI CHAPEO YA WOKOVU,NA UPANGA WA ROHO AMBAO NI NENO LA MUNGU…” (Waefeso 6:17).Kama HAULITUMII NENO LA MUNGU kwenye maongezi yako yote,unamfanya ROHO MTAKATIFU awe DORMANT…UNAMNYIMA UPANGA.

beleive in jesus

UKOMAVU>>> Ukomavu wa Mkristo haupimwi kwa namna anavyotetea DINI/DHEHEBU LAKE…Ukomavu wa Mkristo unapimwa kwa UTAYARI NA UJASIRI WAKE WA KUISIMAMIA KWELI YA NENO LA MUNGU…Tutakuheshimu kama Mkristo endapo UTATUNZA NA KUKIISHI KILE YESU ALICHOAGIZA!!

WIMBO WA MKRISTO>>> Wimbo wa Mkristo una beti tatu; 1.UPENDO WA MUNGU usio na kipimo na wa ajabu wa kumtoa Mwanae kwa ajili yetu, 2.NEEMA YA KRISTO YESU ituokoayo na kutufundisha kuukataa Ubaya wa Kila namna, 3.USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU km Mwl,Kiongozi nk

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: