Uzima milele

KINYWA CHA mtu

 

KINYWA CHA MTU>>>Yesu anasema, “Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake”(Math 12:34).Aina ya Maneno usemayo inatusaidia kufahamu wewe ni NANI HASA…Ukijilisha Neno la Mungu utaongea IMANI. Ukijilisha kile dunia isemacho, UTAKUWA MTUMWA na utasema hayo

uzima milele

 

UZIMA WA MILELE>>>Yesu alisema, “UZIMA WA MILELE ndio huu; WAKUJUE WEWE,MUNGU WA PEKEE WA KWELI, NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA” .Pale unapomjua Mungu aliye UPENDO na aliye MWEMA, na Yesu Kristo aliyelipa DENI YA DHAMBI ZAKO, na UKAMWAMINI. Unao UZIMA WA MILELE

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: