Nija swali muhimu sana

image

Ndugu mwana wa Mungu mwenzangu, Bwana Yesu asifiwe sana! Leo ninalo swali ambalo natamani kila mtu ambaye ni Mkristo, Mwanafunzi wa Yesu Kristo anapaswa alijibu. Je unadhani ni mambo gani ambayo kama Yesu  angekuwa ni wewe [katika nafasi uliyopo] angeyafanya hapo kwenye ofisi yako, chuo chako, familia yako, ndoa yako au kanisa lako? Kabla ya kujibu, fikiria kwanza vizuri kuhusu tabia na mtazamo wa Yesu, kisha ndio ujibu. Majibu yatakayopatikana hapa, ndio mfumo halisi wa maisha ya Kikristo tunayopaswa kuishi. Karibu ujibu swali hili muhimu, barikiwa!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: