Magazeti ya udakuu

************************

ni maalumu kwa watu wenye uelewa mdogo, waliokosa kusudi la maisha, wasiojua ni kwanini wapo duniani, watu wanaosubiri habari za wenzao ziwafikie na waanze kuzitafakari na kuzijengea hoja…Haya ni maalumu kwa wote wasiojua thamani ya nini Mungu ameweka ndani yao na kwenye maisha yao…Ni maalumu kwa wale ambao wanaishi maisha ya KUSADIKIKA…Wale wanaokazana kukaa usingizini ili wafurahie ndoto ambazo hawawezi kuzifanya halisi kwenye maisha yao…Yale ni maalumu kwa Wachovu wa kufikiri na wenye mawazo mgando…Ni maalumu kwa ajili ya kupunguza uwezo wa kuchanganua mambo na kuzima nuru na taa ya Mungu ndani yako…Ni uwanja wa mazoezi wa watenda dhambi na baraza la mizaha ambalo mwenye haki akijichanganya na kujiingiza hatoki salama…Ni mahali ambapo hata mashujaa wa Imani wamejikuta wamekuwa Magoigoi…Yanauzika kwa kiwango cha juu sana hapa nchini na mataifa mengine yaliyoendelea kiuchumi ili kudhibitisha kuwa mateka ni wengi kuliko walio huru!
“USIDANGANYIKE MAZUNGUMZO MABAYA UHARIBU TABIA NJEMA”
“What you see affect your Vision, What you hear affect your Decisions”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: