KWA WALE TU AMBAO WANA KIU YA KUJUA NENO LA MUNGU…

Bwana Yesu asifiwe sana, naamini mu wazima…kutokana na neema aliyonipa Mungu kuwa Mwalimu wa Neno lake, napenda kuendelea kuyagusa maisha ya wengine pia ambao wana kiu ya dhati ya kumjua Mungu na kupiga hatua zaidi za kulijua Neno lake na Namna ya kulitumia katika maisha yao ya kila siku, kutokana na kutoweza kuja mara kwa mara facebook [kwa

sababu ya gharama kubwa za internet cafe] nimeamua kuwasaidia wasomaji wa dhati wa Neno la Mungu kupitia simu….Kama una swali lolote la Kiroho, au unataka kujifunza kuhusu Mada fulani kwenye Biblia, au jambo lolote kwa mtazamo wa Neno la Mungu, au hata ushauri wa Kibiblia, nitakuwa tayari kukusaidia, ila zingatia haya yafuatayo;

1.Usinibip maana sitakupigia
2.Usijaribu kuitumia namba yangu ya simu kufanya utoto wowote wa kiroho (wale wa upande wa pili mnanielewa vema)
3.Usinitumie meseji zozote za kipuuzi,
4.Usije na hoja au malumbano, sifanyi kazi katika maeneo hayo…mimi ni Mwalimu wa Neno la Mungu…si mwalimu wa mashindano

Namba yangu: 0655/ 0753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: