KIPIMO KIKUBWA CHA MKRISTO, UPENDO…(1Wakorintho 13)

jesus

Yesu alisema, “AMRI KUU NAWAPENI, PENDANENI KAMA MIMI NILIVYOWAPENDA NINYI” (Yohana 16:13)

Tena akasisitiza, “WAPENDENI ADUI ZENU, WABARIKINI WANAOWALAANI, WAOMBEENI WANAOWAUDHI” (Mathayo 5:44)

Tena akasema, “MPENDE BWANA MUNGU WAKO, KWA MOYO WAKO WOTE, KWA NGUVU ZAKO ZOTE, KWA MALI ZAKO ZOTE, KWA MOYO WAKO WOTE NA KWA ROHO YAKO YOTE”

Tena

akasema, “MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO”

KWANINI NI LAZIMA NA MUHIMU SANA KWA MKRISTO KUTEMBEA KATIKA UPENDO?

1.Upendo ni kipimo pekee kinachoonesha uwepo wa Roho wa Mungu ndani yako, ni tunda la Roho Mtakatifu (Warumi 5:5, Wagalatia 5:22-23)

2.Upendo ni Mungu; Mungu ni Upendo (1Yohana 3)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: