Aina za watoa sadaka

Aina za watoa sadaka na mitazamo iliyo mioyoni mwao; 1.Wanaotoa kwa sababu wanajua Mungu atawarudishia maradufu…hawa wanatoa wakiwa na wazo la kutumia sadaka kama chambo cha kupata pesa au uchumi mzuri toka kwa Mungu (hawatoi kwa vile wanampenda Mungu wao na wana mioyo ya shukurani, bali wanajaribu kuitumia sadaka kama kitega uchumi kupitia nini watapata kama matokeo ya utoaji wao) 2.Wanaotoa sadaka kama utaratibu wa dini au dhehebu lao…hawa wanakwenda kanisani na wanatoa ilimradi tu…kwahiyo hawaangalii

https://i0.wp.com/gslchurchnew.org/wp-content/uploads/2012/04/offering21.jpgUBORA wala KIASI cha matoleo…hawa wanatoa hata CHENJI zilizobaki kwenye nauli au manunuzi ya dukani…hawa ni wapoteza muda tu 3.Wanaotoa ili wajioneshe au wapate sifa kwa Mchungaji au Washirika…hawa hawatoi sadaka, wanafanya matangazo tu 4.Wanaotoa sawasawa na msukumo/sauti ya Mungu ndani yao…Hawa ndo watoaji hasa, hawatoi kwa sababu ni muda wa kutoa au kwa vile wamehubiriwa somo la utoaji…bali wanatoa kutii sauti/ msukumo alioweka Mungu ndani yao…hawa ndo wale wanaomtolea Mungu kwa moyo wa kupenda…hawa wana tabia ya kumuuliza Mungu juu ya kila shilingi ipitayo mikononi mwao (asomaye na afahamu) 5.Wanaotoa sadaka kutegemeana na huduma au mtumishi…hawa wanatoa si kwa lengo la kumgusa Mungu bali wanatoa kwa sababu ya jina la huduma au mtumishi… JE WEWE UKO NAMBA NGAPI? Wewe, Mungu na shetani mnajua uko wapi..!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Aina za watoa sadaka
 1. Josephat Kyaruzi says:

  Bwana Yesu asifiwe,

  Nimependa sana somo la aina za watoa sadaka. Kimsingi. Mwandishi ameenelezea kwa ufupi na ufasaha kwa kila kundi.

  Kimsingi binafsi nakili kuwa tatizo halipo sana kwa watoa sadaka, bali wanaotufundisha toka utotoni na pale tunapokuwa kumeingia kweneye wokovu.

  Mungu aendelee kutufunulia kwa neno lake tujue namna ya kumtolea SADAKA TAKATIFU na YAKUPENDEZA.

  Barikiwa.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: