Uhusiano

Sijawahi kuona MZAZI anapoteza UHUSIANO WA DAMU na MWANAE eti kisa mwanae AMETENDA KOSA/ DHAMBI… Hata kama KAUA, KAZINI, KAIBA, Utasikia watu wakisema, “MTOTO WA FULANI AMEHARIBIKA”…Yaani ataendelea kuwa tu MWANA WA FULANI bila kujali WINGI AU UKUBWA WA DHAMBI/ MAKOSA YAKE… YESU ALIPOFUNDISHA KUHUSU MFANO WA MWANA MPOTEVU (LUKA 15), ALITAKA TUJUE KUWA HAIJALISHI TUMETENDA DHAMBI/ MAKOSA MAKUBWA KIASI GANI, HAIWEZI BADILI HAKI YETU NA HADHI YETU YA KUWA WANA/ WATOTO WA MUNGU… NA PIA ALITAKA TUJUE KUWA KAMA TUKITENDA DHAMBI/ TUKIKOSEA, TUSIISHIE KUJIHUKUMU NA KUMKIMBIA MUNGU, BALI TUMSOGELEE NAYE ATATUPOKEA NA KUFURAHIA PAMOJA NASI KUHUSU KURUDI KWETU TENA NYUMBANI… Unapokosea au kutenda dhambi [hata kama kubwa kiasi gani] USIMKIMBIE MUNGU BALI MKIMBILIE MUNGU… Damu ya Yesu imekuunga na Mungu

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: