Si kila wazo…

Si kila wazo au fikra ijayo ndani yako unapaswa kuiwasilisha nje, kwa wengine, tena kwa SAUTI…Unahitaji HEKIMA kubwa sana ktk maamuzi yako, usizidiwe nguvu na hamu yako ya kuonesha kilichomo ndani yako…HATA MPUMBAVU UHESABIWA KUWA MWENYE HEKIMA AKIKAA KIMYA… Kuna watu wengi hamjui ATHARI/ MADHARA ya kuandikaandika kila kijacho akilini mwenu…Nani kakuuliza mambo yako ya ndani?…mara Nakula, naoga, naangalia tv, narudi nyumban njiani foleni, njoo tulale nk… NANI KAKUULIZA? KAA KIMYA, LINDA HESHIMA YAKO RAFIKI… HEKIMA NI ULINZI KWAKE ALIYENAYO, KAMA FEDHA ILIVYO ULINZI KWA TAJIRI..!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: