Chakula cha watu wazima

kitu rahisi kama baiskeli Hakuna kitu rahisi na cha kuburudisha kama kuendesha baiskeli kwenye mteremko…hauhitaji kutumia nguvu hata kidogo, unashikilia tu usukani halafu unakuwa focused kwenda kule tu baiskeli inakoelekea…kwa wale wazoefu huwa TUNAACHIA HATA USUKANI… Hivi ndivyo inavyokuwa pale MWAMINI anapopata UFUNUO toka kwenye NENO LA MUNGU na kisha AKABOFYA KITUFE CHA IMANI… Ni sawa na namna ambavyo TAI anafanya akiwa hewani… Huwa ANATANUA TU MABAWA HALAFU ANAELEA… MAISHA YA IMANI NI RAHISI…UNADAKA TU UFUNUO WA NENO LA MUNGU, UNALITENDA HILO TU NA KUFUNGIA NJE RIPOTI YA MILANGO MITANO YA FAHAMU…#Chakula cha watu wazima#

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: