Changamoto Maishani

lifeUnajua mimi naishi hapa duniani kama wewe, ninakumbana na changamoto nyingi tu kama wewe, japo za kwako haziwezi kuwa sawa na zangu, wala zangu kuwa sawa na zako… Nakumbana na changamoto za Kiroho, za kiuchumi, za kimaisha, za kihudumu (utumishi) nk lakini HAUWEZI KUNIKUTA HATA SIKU MOJA nikiwa na HUZUNI, KUCHOKA, KUKATA TAMAA, KULAUMU, KUUMIA, KUSIKITIKA au KUKOSA TUMAINI… Kwakweli nina jibu la kila SWALI LA MAISHA YANGU NA YA WENGINE (ambao Mungu amewapa neema kujua kuwa nimebeba PACKAGE zao) … Siri yangu imekaa kwenye NAMNA YA KUFIKIRI KWANGU, NA AINA YA MAMBO NINAYOYAPA RUHUSA KUFIKIRIWA/ KUWAZWA NA AKILI/ UBONGO WANGU… Siri hii niliipata miaka 3 iliyopita, na tangu wakati huo nimefanikiwa kuwa MTU ASIYEWEZA KUUGUA, MTU ASIYEJUA KUSHINDWA, MTU ASIYESHINDWA KUTIMIZA CHOCHOTE ALICHOTIA MOYO WAKE KUFANYA, NIMEKUWA MTU ALIYEFANIKIWA SANA NA ANAYEYAGUSA MAISHA YA WENGINE NA KUYAPA THAMANI… Siri hii inaweza kuyabadili maisha yako pia… SI KILA WAZO/ FIKRA inaruhusiwa kupata nafasi ndani ya AKILI YAKO… Wewe ulivyo ni matokeo ya nini UNAWAZA… Matendo yako ni UDHIHIRISHO WA MAWAZO YAKO… “Hatimaye ndugu zangu, mambo yoyote yaliyo ya KWELI (yasiyo ya uongo), yoyote yaliyo ya STAHA/ YA HESHIMA, yoyote yaliyo ya HAKI, yoyote yaliyo SAFI (yasiyo na uchafu), yoyote yenye KUPENDEZA, yoyote yenye SIFA NJEMA, ukiwapo WEMA wowote, ikiwapo SIFA NZURI yoyote, YATAFAKARINI/ YAWAZENI HAYO” (Wafilipi 4:8)!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: