Hekima ya Mungu

…Hekima iliyojaa UBUNIFU, UTENDAJI NA MATOKEO YA KIUNGU…Hii ni Hekima ambayo inampa Mwanadamu uwezo wa kutoa matokeo yaliyo juu sana/ nje ya akili za Mwanadamu… Hii ndiyo iliyokuwa ndani ya YAKOBO, pasipo elimu ya maswala ya Mifugo aliweza kufanya UHAMILISHAJI na kupata wanyama wenye madoa toka kwa majike na madume yasiyo na madoa na kuzima kabisa hila na ujanjaujanja wa LABAN

I mkwewe… Hii ndiyo hekima iliyokuwa ndani ya ISAKA, hata wakati wa KIANGAZI alipanda mbegu na kuvuna mazao mengi sana… Hii ndiyo Hekima iliyokuwa ndani ya IBRAHIM kiasi cha kuweza kuwashinda WAFALME WANNE NA MAJESHI YAO waliokuwa wamemteka nduguye LUTU… Hii ndiyo Hekima iliyokuwa ndani ya YUSUFU, bila shule ya UTAWALA NA USIMAMIZI akaweza kutawala nchi isiyo yake ya MISRI… Kwa hekima hii, MUSA aliweza kuwa ‘mungu’ kwa FARAO NA NCHI YA MISRI kwa ujumla… Kwa Hekima hii, KALEBU NA JOSHUA walikata TIKETI YA KUINGIA KANANI kati ya Wapelelezi 12 walioipeleleza nchi ya ahadi… Kwa hekima hii, JOSHUA alilizuia JUA LISIZAME mpaka alipowashinda WAAMALEKI… Kwa hekima hii, hata alipokuwa na miaka 85, KALEBU alikuwa shujaa wa vita asiyeshindwa… Kwa hekima hii, SAMSONI aliweza kuwakamata MBWEHA 300 kwa mikono 2 na kuwatia moto wakachome mashamba ya WAFILISTI… Kwa hekima hii, YABEZI aliomba MAOMBI yaliyobadili MAISHA YAKE… Kwa hekima hii, ELISHA alitenda mambo makuu kwenye HUDUMA YAKE hata alipokufa MIFUPA YAKE ilikuwa na UPAKO kiasi cha KUFUFUA MAITI… Hawa ni baadhi ya watu wa AGANO LA KALE ambao DUNIA haijaweza kuwasahau kwa ALAMA WALIZOACHA kwa KUTENDA NA KUTEMBEA katika HEKIMA YA MUNGU… Mimi nimejenga UHUSIANO na USHIRIKA na MUNGU MKUU ALIYEJAA HEKIMA, NITATENDA MAMBO MAKUU (Daniel 11:32, Zaburi 60:12)!
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: