Usiwe MTOTO katika KUMJUA MUNGU

thinking

waza makubwa

… Usipoteze muda wako KUMWOMBA MUNGU AKUPE PESA… Bali mwombe MUNGU akupe AKILI, HEKIMA NA UFAHAMU WA KIUNGU ambao utakufanya UONE FURSA ZA KIUCHUMI NA KIFEDHA wakati wengine wote wakiwa WANALIA NA KUILAUMU SERIKALI kwa ugumu wa maisha walionao… Usimwombe Mungu ili uwe MTU MKUU… Hili ni jambo dogo sana, Bali mwombe MUNGU akupe HEKIMA NA UFAHAMU utakaokutofauti

sha na wengine na KUKUWEKA MAHALI PA JUU huku ukiwa na Uhakika wa KUKAA HAPO MAISHA YAKO YOTE, Kama ukifika kwenye KILELE CHA MAFANIKIO kwa HEKIMA NA UFAHAMU WA MUNGU, HAUWEZI KUPOROMOKA TENA… Maana MBINGU NA NCHI vimeumbwa na vinadumu kwa HEKIMA NA UFAHAMU WA MUNGU (Mithali 3:19)… Usipoteze muda kumwomba MUNGU UTAJIRI… Badala yake tumia muda wako KUJUA NI KWA NINI MUNGU HUTUPA NGUVU YA KUPATA UTAJIRI ili usije ukanyongwa na huo utajiri wako au ukageuka kuwa mzigo utakaotafuna AMANI NA FURAHA yako… Kabla MUNGU hajakupa KITU CHOCHOTE KIKUBWA kitakacho kutofautisha na wenzio LAZIMA kwanza AJIRIDHISHE kuhusu UADILIFU wa MOYO WAKO… Ndio maana ni LAZIMA kwanza MTU AOKOKE, abadilishwe, afanywe upya ili aweze kupata ACCESS YA SIRI ZA MUNGU… Kumbuka, “MTU WA ASILI [asiye na Yesu ndani yake] HAWEZI KUYAPOKEA MAMBO YA ROHONI [mambo yatokayo moyoni mwa Mungu] KWA MAANA YATAMBULIKANA KWA JINSI YA ROHONI (1 Wakorintho 2:14)!
Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: