Uzima wa Milele

God loves the world

akamtoa mwanaye wa pekee

Unajua Wakristo wengi wanadhani UZIMA WA MILELE ni kitu fulani hivi…Kumbe wako mbali na ukweli wenyewe…UZIMA WA MILELE ni MTU [PERSON]…Ndio maana Yesu aliuelezea UZIMA WA MILELE kama “KUMJUA MUNGU, ALIYE WA PEKEE NA WA KWELI, NA KRISTO YESU ALIYEMPELEKA” (Yohana 17:3)
Pale unapomwamini Bwana Yesu, ukampokea moyoni mwako, na kuamini ya kuwa alikufa na siku ya tatu MUNGU akamfufua toka kwa wafu, na kuamua KUYATOA MAISHA YAKO KWA YESU ili awe BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO…Hapohapo pia unaupata na UZIMA WA MILELE… “KWA MAANA JINSI HII, MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU, HATA AKAMTOA MWANAE WA PEKEE ILI KILA AMWAMINIYE ASIPOTEE BALI AWE NA UZIMA WA MILELE” (Yohana 3:16)

UZIMA WA MILELE NI MUNGU NA ASILI YAKE NDANI YA MTU…NI NGUVU, MAMLAKA, UTUKUFU NA NEEMA YA MUNGU NDANI YA MTU…NI SURA NA MFANO WA MUNGU NDANI YA MTU…Ni Wakristo wachache wanaojua siri hii, na wewe umeijua leo, kama UMEOKOKA, UMEMBEBA MUNGU NA KILA ALICHONACHO NDANI YAKO…UKIAMUA KUWA KILAZA KWENYE MAISHA NI UAMUZI WAKO…Ni maombi yangu na dua yangu kwa BWANA utembee katika NURU YA UKWELI HUU!

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: