Maisha bora ya uhakika na ustawi

Kuna kitu kimoja pekee hapa duniani kitakacho kuhakikishia MAISHA BORA, YA UHAKIKA NA USTAWI… Hiki kitu KITALIKUZA JINA LAKO… Kitakukusanyia NDUGU NA MARAFIKI hata ambao hukuwahi kujua kuwa wanaishi au wapo duniani… Hiki kitu kitakurahisishia mapito na njia za maisha yako… Kitu hiki ni cha thamani sana, KITAKUTENGENEZEA NAFASI… Kitaifanya duniani ijue kuwa upo na haitakana kazi yako… Kitu hiki ndicho kilichobeba MAANA NA THAMANI YA MAISHA YAKO… Hiki kitu ndicho kilichomfanya MUNGU atumie MUDA, UJUZI, UBUNIFU, MAARIFA NA HEKIMA kukuumba… Hiki kitu ndicho kilichofanya uzaliwe na kukulia katika FAMILIA, MAZINGIRA, JAMII, nk… Hiki kitu ndicho KILIMFANYA MUNGU AMTOE YESU AFE MSALABANI kwa ajili ya KUKIREJESHA… Kitu hiki ndicho kimefanya MUNGU ALIYE HAI, AJE KWETU NA KUWEKA MAKAO NDANI YETU kupitia ROHO WAKE MTAKATIFU ili ATUSAIDIE, ATUFUNDISHE, ATUONGOZE, ATUFARIJI, ATUFUNULIE SIRI kuhusu kitu hiki… Kitu hiki kinaitwa KUSUDI LA MUNGU MAISHANI MWAKO (God’s purpose/ intent for your life)!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: