Jamani Raia wa Mbinguni

https://i1.wp.com/www.uckg.org/uk/wp-content/uploads/2011/12/sincere-to-God.jpgJamani, RAIA WA MBINGUNI NI WA MBINGUNI TU… Kwa Upande wangu, MUNGU yuko kazini kila SEKUNDE kunisaidia kuishi MAISHA MATAKATIFU NA YA KUMPENDEZA… Hata ikitokea NIMETOKA NJE YA MSTARI WA KWELI ZAKE, Mara moja NARUDISHWA KWENYE MSTARI na ROHO WAKE ANAYESHUHUDIA NA ROHO YANGU YAKUWA MIMI NI MWANA WA MUNGU… KIDOTI chochote cha DHAMBI kinacholigusa VAZI LANGU LA WOKOVU nakiona MARA na KUSUKUMWA kwenda KWENYE KIJITO CHA DAMU YA YESU KUFUA VAZI LANGU!
Naamini hata kwako mwenzangu ULIYEOKOKA, UNAUJUA UKWELI HUU na umekuwa ukiuona maishani mwako… MUNGU AMETUPA ARABUNI YA ROHO na tumetiwa MUHURI kwa ROHO WAKE AKAAYE NDANI YETU!
Swala ni Je UNAMTII NA KUMHESHIMU ROHO MTAKATIFU? UNAKUBALI KUACHA KILE ANACHOKUSHUHUDIA KUWA SI SAHIHI? Kitakachonifanya Mimi niende MBINGUNI na MKRISTO MWINGINE asiende NI UTIIFU WETU KWA SAUTI YA ROHO WA MUNGU AFANYAYE KAZI NDANI YETU na MWITIKIO (ACTION) UNAYOCHUKUA BAADA YA KUMSIKIA AKIKUELEKEZA AU KUKUSEMESHA NDANI YAKO!
Mimi ni RAIA WA MBINGUNI, PIGA UA HUNITOI HUKO, NIMEKWISHA HESABU GHARAMA, NITAMTII NA KUMSIKILIZA ROHO MTAKATIFU HATA KAMA ITANIGHARIMU UHAI WANGU!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: