kila jaribu lina mwisho wake

Jaribu Si Jaribu Mpaka Likufikishe Mahali Pa Njia Panda Aidha Uendelee Kumwamini Mungu Na Neno Lake Au Utafute Njia Mbadala Ya Kujikwamua Nje Ya Mungu Na Neno Lake!
Si Kila Tatizo Ni Jaribu Ila Kila Jaribu Ni Tatizo Na Linatatiza!

kila jaribu,linamwisho wake

Kama Watu Wa Familia Ya Mungu, Tulionunuliwa Kwa Damu Ya Thamani Ya Yesu, Mungu Anaporuhusu Jaribu Kwetu Ni Kwa Sababu Anajua Liko Ndani Ya Uwezo wa Imani Yetu Kwake, Anajua Haliko Juu Ya Kiwango Cha Imani Yetu Kwake, Lakini Pamoja Na Yote Hayo, Anakuwa Pamoja Nasi Taabuni (kwenye Jaribu husika) Na Pia Anafanya Na Mlango Wa Kutokea (Zaburi 91:15, 1Wakorintho 10:13)

Jaribu Linaumiza, Linasumbua, Linanyima Raha Hasa Kwako Wewe Unayekuwa Unapitishwa Hapo, Lakini Ninajua Jambo Moja, Kila Jaribu Na Changamoto Uliyonayo Ina Mwisho Wake… Usitoe Jicho Lako Kwa Yesu Ukaanza Kuzama Kama Petro!
Mtazame Yesu, Kaza Jicho Lako Kwake (kwa Maombi, Kuling’ang’ania Neno Na Ahadi Za Mungu Kwako, Kukiri Wema Na Uaminifu Wa Mungu Badala Ya Ugumu Unaopitia)…(Waebrania 12:2)!

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
One comment on “kila jaribu lina mwisho wake
  1. Mwamini mungu kwa kila jambo, maana yeye ndiye muweza wa yote.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: