Kuwa Mkubwa si wingi wa Miaka

Kinachowaponza Wakristo Wengi Waliokomaa, Ni Kutojua Mbinu Anayotumia Shetani Dhidi Yao… Shetani Anajua Wamekuwa Viumbe Vipya, Uzao Mteule, Taifa Takatifu Na Watu Wa Milki Ya Mungu… Anajua Wanayo Nia Ya kristo Ndani Yao Na Pia Wana Allergy Na Dhambi. Anajua Hawatakubali Kwenda Kuzini, Kuiba, Kusengenya nk… Mbinu Yake Kubwa Ni Kuwatia Giza Katika Fahamu Zao; Waone Lakini Wasifahamu, Wafahamu Lakini Wasitendee Kazi… Na Wakitendea Kazi Wawe Busy Kufanya Mambo Mazuri Lakini Yasiyo Sahihi… Hivyo Wanapiga Tu Mark Time Kama Waisraeli Jangwani!
Watu Wote Waliofanikiwa Kwenye Maisha Ni Wale Waliokuwa SPECIFIC Lakini Wanaojua Nini Ni Jambo Sahihi, Namna Sahihi Ya Kulifanya, Muda Sahihi Wa Kulifanya, Mahali Sahihi Pa Kulifanyia Na Wenye Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Kulifanya Kuwa Halisi!
**KUWA MKUBWA SI WINGI WA MIAKA BALI UWEZO WA KUIPATA HEKIMA YA MUNGU NA KUIWEKA KWENYE MATENDO*

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: