Mkristo wa kweli ni yupi?

Mkristu wa kweli

Wakati Mwafaka Wa Kumjua Mkristo Wa Kweli Ni Pale Anapokuwa Anapitia Changamoto Au Magumu Maishani Mwake… Kauli/ Maneno Anayosema Kuhusu Mungu Wake Na Pia Kuhusu Changamoto Yake Ni Ushahidi Wa Wazi Wa Nini Anajua Kuhusu Mungu Wake na Imani Yake Kwa Mungu Iliyomo Ndani Yake!
Mkristo Anayetapatapa Na Kulialia Shida Zake Mbele Za Wanadamu Badala Ya Mungu, NI SHABIKI WA KRISTO Ila SI MTENDA KAZI PAMOJA NA KRISTO… Ukiyachunguza Maisha Yake Kwa Jicho La Mungu Utagundua Kuwa pia Hazibebi CHAPA ZA KRISTO MWILINI MWAKE… Kila Mtu Anaweza Kuwa Mkristo Na Kudai Kuwa Anampenda Mungu Wakati MAMBO YAKE YANAMWENDEA VIZURI… Mkristo Wa Kweli ANALIBARIKI JINA LA BWANA Wakati Wa Magumu Na Changamoto!
Mkristo Wa Kweli Anamfuata Kristo Hata Kalvari, Haishii Harusini Kana Ya Galilaya Ama Kwenye Ile Mana Ya Mikate Na Samaki Kulisha Maelfu!
MIMI NI MKRISTO, WEWE JE?

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: