Mungu hana upendeleo

Usijefanya kosa la KUMFUNGULIA MTU MLANGO AU KUMFUKUZA MAISHANI KWAKO kwa kutazama kigezo cha YEYE NI NANI AU ANA NINI SASA… Kila mtu ana BRIGHT FUTURE, SHINNING DESTINY ambayo hakuna aliyenayo isipokuwa yeye tu… Nani alijua MCHUNGA KONDOO DAUDI atakuja kuwa MFALME WA ISRAELI? Nani alijua YABEZI ALIYEISHI MAISHA YAKE KWA UCHUNGU NA MAUMIVU angekuja kuwa MTU MKUU SANA BAADA TU YA KUOMBA MAOMBI YA IMANI KWA BWANA? Nani alijua FUNDI SEREMALA YUSUFU angekuja kuwa BABA WA KUMLEA KRISTO YESU? Nani alijua MARIAMU, BINTI MASIKINI toka FAMILIA ISIYO NA JINA ANGEKUJA kuwa MAMA WA KRISTO YESU? Maisha ya mtu Yeyote, Hata ya Kwako Wewe Unayesoma Status Hii yanaweza kugeuka ndani ya SIKU, WIKI, MWEZI AU MWAKA na kila mtu akabaki kusema, “HUYU JAMAA TUNAMJUA, TUMESOMA NAYE, TUMELALA NAYE BWENI MOJA, TENA NILIKUWA NAMZIDI SANA DARASANI….”
Usiumizwe na Kukata Tamaa kwa Sababu ya Kiwango cha Maisha au Changamoto Uliyonayo… MUNGU AMEKUUMBA KWA KUSUDI NA MPANGO MAALUMU, wewe si wa kawaida… ONGEZA TU JUHUDI KATIKA KUMTAFUTA MUNGU NA KUMJUA SANA… Na Baada ya Muda Tutakutana Ukiwa na Ushuhuda Mkubwa Maishani Mwako!
“KWA JINA LA YESU WA NAZARETH, KILA KUSUDI JEMA LA MUNGU MAISHANI MWAKO LITOKEE KWAKO, KILA KILICHOIZIMA NYOTA YAKO KIIACHIE KWA JINA LA YESU, WATU WAIONE NURU YAKO NA KILA KIWANGO NA UBORA WAKO UDHIHIRIKE KATIKA JINA LA YESU, MUNGU AKUPE UPENDELEO NA AMANI NA KIBALI KATIKA MAMBO YOTE, KWA JINA LA YESU ALIYE HAI, Amen!”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: