Muongozo wa Mkiristo ni Biblia

Mkristo, Aliyenunuliwa Kwa Damu Ya Yesu anapatwa na Changamoto wanazopata Wanadamu Wengine Wa Kawaida, Ila Tofauti Yao Ni Kwamba, MKRISTO ANA MAJIBU YA KILA CHANGAMOTO YAKE… MAJIBU HAYO YANAPATIKANA KWENYE KITABU KIITWACHO BIBLIA… Kinaeleza Kwa Undani Nini Cha Kufanya Ili Usiingie Matatani, Na Kama Umeingia Matatani Nini Cha Kufanya Ili Utoke Humo… Kinachotutofautisha Kama Wakristo Ni Ufanisi Wa Kukitumia Hiki Kitabu Kwenye Maisha Yetu!
Wengi Wanaishia Kukisoma Na Kukariri Kabisa Vipande Vya Kitabu Hiki, Wana Porojo Nyingi Lakini Hatuoni Matokeo Kwenye Maisha Yao… Wachache Tuliobaki Tunaelewa Umuhimu Wa Muujiza Huu Tuliopewa Hapa Duniani Wenye Majibu yote, Tunautunza Na Kuhuifadhi Ndani Yetu Kwa Wingi, Tunauruhusu Utawale Kuwaza, Kufikiri, Kutenda Na Kuongea Kwetu, Na Kutokea Hapo Kila Siku Kwetu Ni Miujiza, Tunaishi Duniani Kwa Sababu Ya Miili Tuliyovaa Ila Kwakweli Muda Mwingi Tuko Mbinguni, Tunaishi Maisha Ya Juu, Dunia Haituathiri Bali Tunaiathiri Na Kuzipinda Kanuni Zake!

(HII NDO ZAWADI YANGU KWAKO- Mwl Dickson C.K)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: