Muujiza ni halisi kwangu

Kila muda Mungu ANAPOJIBU OMBI LA MKRISTO, MUUJIZA HUTOKEA! Jibu la Mungu juu ya KILE KILICHOKUWA JUU YA UWEZO WA AKILI YAKO NA MBINU ZAKO Ndicho kiitwacho MUUJIZA!
Muujiza UNAJUMUISHA PANDE MBILI; Upande wa Mungu na Upande wa Mwanadamu Aliyemwamini Mungu kwa ajili ya MUUJIZA husika!
Kama WANADAMU tukikaa KIMYA, BILA KUOMBA NA KIULIZIA MIUJIZA KWA MUNGU, na kisha KUIPOKEA KWA IMANI, MIUJIZA haitatokea hapa DUNIANI!
Ili MUUJIZA wowote UTOKEE DUNIANI sharti UMUHUSISHE MWANADAMU… Kama HAKUNA MWANADAMU ALIYEAMURU MUUJIZA HUTOKEE; Kwa Maombi, Imani na Kutenda sawa na Imani yake, HAKUNA MUUJIZA UTAKAOTOKEA!
Mara nyingi nimekuwa SHAHIDI WA UKWELI HUU kwenye HUDUMA YANGU YA UALIMU aliyonipa BWANA YESU… Kama sijakaa Mkao wa Kuleta Muujiza na Kuwaweka Wasikilizaji wangu KWENYE MKAO WA KUTARAJIA KITU KWA BWANA NA KUJENGA IMANI YA KUPOKEA, MIUJIZA HUWA HAITOKEI!
Kwenye Maisha yangu Binafsi ya KULA, KUNYWA na KUVAA pia MIUJIZA MINGI HUTOKEA… LAKINI MIMI NDIYE HUWA CHANZO CHA HII MIUJIZA… Nafanya sehemu yangu na Mungu anaufanya Muujiza uwe halisi kwangu… Nafungua hapa Duniani na Mungu anafungua Mbinguni!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: