Usicheze na Muda..

kila jambo na Muda wake!

Kila Kitu Unachopata Nafasi Ya Kukifanya Kama Sehemu Ya Kusudi La Mungu Maishani Mwako; Kimefungwa Ndani Ya Muda Maalumu, Kiko Ndani Ya Majira… Ukikosea Au Kulipua Ndo Imetoka!
Yesu Alilisisitiza Hili Pale Aliposema, ” Yatupasa Kuitenda Kazi Maadamu Ni Mchana, Usiku Waja Asipoweza Mtu Kufanya Kazi”
Usicheze Na Muda, Cheza Na Mbinu Na Mikakati Ya Kulifanya Jambo Husika Kuwa Halisi!
Mwaka Ujao Nawaombeni Msikubali Kumaliza Siku Bila Kuongeza Maarifa Mapya Ndani Ya Vichwa Vyenu… Msiongeze Siku Na Kubaki Na Akili Zilezile, Inakuwa Haina Maana… Hakikisha Unayatafuta Maarifa Na Usiyauze!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: