Ombeni bila kukoma

Nguvu ya Maombi

Endelea Kuomba, Hata Kama Inaonekana Kama Mungu Amekwenda Likizo. Hatupimi Uaminifu Wa Mungu Kwetu Kwa Kiwango Au Kiasi Cha Maombi Yetu Aliyojibu. Imetupasa Kuomba Siku Zote Wala Tusikate Tamaa ( Luka 18:1)

Endelea Kumwamini Mungu Hata Kama Huoni Matokeo Yake Bado.
Endelea Kutarajia Muujiza Toka Kwa Bwana Hata Kama Unaona Muda Unakwenda Na Hauoni Mabadiliko Yoyote Chanya. Yule Mtu Aliyepooza Pale Kwenye Birika La Berthzatha Aliendelea Kuungoja Muujiza Kwa Miaka 38, Angeweza Kukata Tamaa Na Kuondoka, Lakini Aliendelea Kutarajia Kitu Kwa Bwana (Yohana 5:2-9)

Endelea Kutazamia Nuru Hata Kama Unaliona Giza Totoro; Kumbuka Huwapo Gizani, BWANA ni Nuru Yako (Mika 7:8)

Mungu Hufanya Mambo Yake Ndani Ya Muda Maalumu, Na Muda Wa Mungu Ndo Muda Sahihi, Wewe Amini tu… Yote Yanawezekana Kwake Aaminiye (Marko 9:23)

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Ombeni bila kukoma
  1. Bwisengo says:

    Ndio , hiyo ni kweli kuomba bila ku koma ndio kunahitajika.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: