HII NI YA MUHIMU SANA

“KINA Chako Katika Kumjua MUNGU Kitaamua KIMO Chako Katika Maisha”

image

Kumjua mungu

Wazungu wanasema, “YOUR DEPTH IN GOD WILL DETERMINE YOUR HEIGHT IN LIFE”

Hauwezi Kuwa Bora Kwenye Maisha Zaidi Ya Ufahamu Wako Ulionao Kuhusu Mungu Na Neno Lake.
Unavyozidi Kupata Ufunuo Wa Mungu Na Neno Lake Maishani Mwako, Ndivyo Maisha Yanavyozidi Kutiishwa Chini Ya Miguu Yako.

Ayubu 22:28
” Mjue Sana Mungu ILI UWE NA AMANI, Ndipo MEMA YATAKAPOKUJIA (Yatakuja Yenyewe, Hautayafuata wala Kuyaomba, Kama Maji Kwenye Mkondo)”

Danieli 11:32b
” Bali Watu WAMJUAO MUNGU WAO Watakuwa HODARI na KUTENDA MAMBO MAKUU”

Anayetaka Kuwa Mvivu Na Awe Mvivu, Ila Baada Ya Miaka Kama 3 Nisikusikie Unanitukana KWAMBA NATUMIA UCHAWI WA NIGERIA.
Wenzako Muda Huu tuko Na Mkuu Wa Uzima, Tunatafuta, Tunabisha, Akitupa Hazina Zake Mtainuka tu Kusema Maneno Yenu Ya Kutapatapa… Lipeni tu GHARAMA, MUNGU HANA UPENDELEO, BALI KILA ATENDAYE HAKI NA KUMCHA HUKUBALIWA NA YEYE (Matendo 10:34)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: